SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA- UCHANGANUZI WA SENTENSI
ZOEZI
ZOEZI LA KUANDIKA
CHANGANUA SENTENSI IFUATAYO KWA NJIA YA MISTARI.
1. Kitabu kilichopotea jana kimepatikana
Zoezi la kuandika 2
CHANGANUA SENTENSI IFUATAYO KWA NJIA YA JEDWALI
2. Mwalimu ambaye amewasili leo ni mpole sana
Zoezi la kuandika 3
CAHANGANUA SENTENSI IFUATAYO KWA NJIA YA MATAWI
3. Nitamwona mama nikifika mapema.
Zoezi la kuandika 4
CHANGANUA SENTENSI IFUATAYO KWA NJIA YA MISHALE/ MISTARI
Kilichonivutia ni hiki.
Licensed under the Creative Commons Attribution Share Alike License 4.0