Mfano wa 1
UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANO KWA NJIA YA MATAWI
1. Chakula kilichopikiwa mtoto ni kitamu.
S- Changamano
KN KT
N s t E
Chakula alichopikiwa mtoto ni kitamu
UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANO KWA NJIA YA MATAWI
1. Chakula kilichopikiwa mtoto ni kitamu.
S- Changamano
KN KT
N s t E
Chakula alichopikiwa mtoto ni kitamu
2. Alitukimbilia alipotuona.
S-Changamano
KN KT
Kapa T s
alitukimbilia alipotuona
3. Kilichovunjika ni hiki.
S- Changamano
KN KT
s t w
Kilichovunjika ni hiki
Licensed under the Creative Commons Attribution Share Alike License 4.0