Mfano wa kwanza
UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANO KWA NJIA YA JEDWALI.
1. Nitasafiri kesho jioni nikipata nauli.
S-Changamano
KN KT
Kapa T E E s
Nitasafiri leo jioni nikipata nauli
UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANO KWA NJIA YA JEDWALI.
1. Nitasafiri kesho jioni nikipata nauli.
S-Changamano
KN KT
Kapa T E E s
Nitasafiri leo jioni nikipata nauli
2. Juma aliumia uwanjani alipokuwa akicheza.
S- Changamano
KN KT
N T E s
Juma aliumia uwanjani alipokuwa akicheza
3. Paka aliyepotea jana amepatikana.
S-Changamano
KN KT
N s T
Paka aliyepotea jana amepatikana
Licensed under the Creative Commons Attribution Share Alike License 4.0