Skip navigation

SHUGHULI YA KWANZA

Mfano wa 1

UCHANGANUZI WA SENTENSI CHANGAMANO KWA NJIA YA MISTARI.

1. Mkimbiaji aliyeshinda Ulaya juzi amepokelewa kwa furaha.

S-Changamano

s-KN+KT

KN-N+S

N-Mkimbiaji

s- aliyeshinda Ulaya juzi

KT- T+ E

T -amepokelewa

E- kwa furaha

Mfano wa 2

2. Babu alifika nyumbani tulipokuwa tukipika.

S- changamano

S- KN+KT

KN- N

N- Babu

KT- T+E+s

T- alifika

E- nyumbani

s- tulipokuwa tukipika.

Mfano wa 3

3. Mwanafunzi mwerevu aliyepita mtihani ametuzwa.

S-Changamano

S-KN+KT

KN-N+V+s

N- Mwanafunzi

V- mwerevu

s-aliyepita mtihani

KT-T

T- ametuzwa.