Skip navigation

MAMBO KUHUSU SOMO

MADA: Sarufi na matumizi ya lugha.

FUNZO: Uchanganuzi wa sentensi.

KIINI CHA FUNZO: Jinsi ya kuchanganua sentensi changamano.

MAAZIMIO: Wanafunzi wengi huwa na changamoto ya kuchanganua sentensi changamano, hususa ni kutambua kishazi katika sentensi. Somo hili linanuia kumpa mwanafunzi ujuzi wa kuchanganua sentensi changamano kwa njia ya mistari/mishale, jedwali na mchoro wa matawi huku akiweza kutambua vishazi kwa urahisi.