Uchanganuzi wa sentensi ni kugawa sentensi katika sehemu mbili kuu kisha kutaja maneno yaliyounda sehemu hizo.
Ili kuchanganua sentensi changamano, lazima tuwe na ufahamu wa kutambua kishazi katika sentensi hiyo.
sifa zifuatazo zinaweza kumsaidia mwanafunzi kutambua kishazi katika sentensi.
1. Kuwepo kwa kirejeshi, 'o' rejeshi na 'amba'
2. Hudokezwa na 'ki' ya masharti.