Skip navigation

ZOEZI

KUJAZA MAPENGO

Soma sentensi zifuatazo kish mjaze mapengo.

  1. Mtu na  ogop  (kutenda)
  2. Mlango u  i fung  a (kutendeka-wakati uliopita)
  3. Viambishi awali hujitokeza ya mzizi.
  4. Kiambishi 'ni' husimamia katika neno ni-na-lim-a.
  5. ni mzizi wa neno anakula.

Enable JavaScript

KUCHAGUA

Question

1. Ni maelezo yapi yanayoelezea kwa ufasaha juu ya viambishi rejeshi?

Answers

i) Hupatikana kabla na baada ya mzizi wa kitenzi

ii) Huwakilisha ngeli za nomino

iii) Huwakilisha kauli ya kitenzi.

Question

2. Kwa nini mzizi wa vitenzi humambishwa?

Answers

i) Ili kufupisha muundo wa kitenzi.

ii) Ili kuvipa vitenzi maana tofauti tofauti

Enable JavaScript

KWELI-WONGO

Chagua kama ni kweli au wongo kwa mananeno yafuatayo.

Question 1

i) A-na-some-sha

Question 2

ii) Wa-ta-kul-a

Question 3

iii) Wa-me-ku-j-a

            ↓

    kiwakilishi cha kurejesha

Question 4

iv) Wa - ta - wa - zungumz -i - a

     viambishi awali