Skip navigation

HITIMISHO

Kwa kutamatisha;

  • Viambishi ni dhana muhimu sana katika lugha ya kiswahili na uandishi kwa jumla.
  • Vifunzwe kwa utaratibu k.m. viambish awali, mizizi wa vitenzi na kisha viambishi tamati.
  • Mazoezi kadha wa kadha yanayohusu umuhimu mbalimbali wa viambishi yafanywe ili kuwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa ufaayo

...