Viambishi huhusisha dhana nyingine nyingi za kiswahili hivyo kukanganya. Huwa vunahusisha
- Nafsi
- Nyakati
- Ngeli
- Kukanusha
- Hali
- 'O' rejeshi
- Mzizi na
- Mnyambuliko
Kwa hivyo, somo hili litawazisha kipengele hiki ndiposa wanafunzi wasikakanganywe wanapo soma.