Skip navigation

JUKUMU 3

True-False Question

Question 1

4. Hivi ni vipera vya Mazungumzo

{a} nyiso

{b} mbolezi

Question 2

i. Mazungumzo ni hadithi ndefu zinazohusisha ujanja.

Question 3

ii. Hotuba,ulumbi,soga ndivyo vipera tu vya mazungumzo

Question 4

iii.Ulumbi,soga,mawaidha,malumbano ya utani,hotuba na maapizo ni vipera vya mazungumzo

Question 5

iv. Maapizo hufanywa na walumbi katika jamii

Question 6

Hizi ni sifa za maapizo

  1. Huwa na wahusika wawili au zaidi.
  2. Mhusika mmoja huuliza jambo na mwingine hujibu.
  3. Huendelezwa kwa njia ya wimbo.
  4. Wahusika kupingana mwanzoni.
  5. Wahusika huafikiana kufikiwa mwisho.

Question 7

zifuatazo ni sifa za maapizo

  1. Yalitolewa kwa waliokwenda kinyume na matarajio ya jamii.
  2. Yalifanywa mahali maalum k.v. makaburini, porini, chini ya miti mikubwa, n.k.
  3. Hutolewa kwa ulaji kiapo.
  4. Yalitolewa na mwathiriwa au watu maalum walioteuliwa.
  5. Maapizo huaminiwa yataleta maafa kwa jamii.

DropDown Activity

Soma na ujaze mapengo.

Sifa za maapizo

  1. Yalitolewa kwa waliokwenda na matarajio ya jamii.
  2. Yalifanywa maalum k.v. makaburini, porini, chini ya miti mikubwa, n.k.
  3. Hutolewa kwa ulaji .
  4. Yalitolewa na au watu maalum walioteuliwa.
  5. Maapizo huaminiwa yataleta kwa jamii.

Enable JavaScript