Skip navigation

MAZOEZI

ZOEZI LA KUJAZA NAFASI ZILIZOACHWA

Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze mapengo

Silabi ni la tamko moja. vitenzi vya moja vinaweza kuwa na wa KI na KKI. Muundo wa KKI huitwa silabi/sauti . Kwa jumla vitenzi vya silabi moja ni . Vitenzi vinaweza kuwekwa kwenye tofauti tofauti

Enable JavaScript

SWALI

Question

Weka kitenzi la katika kauli ya kutendea

Answers

lilia

lia

lizia

liwa

Question

weka kitenzi fa katika kauli ya kutendeka

Answers

feka

faka

fika

fwaka

Enable JavaScript

True-False Question

Kweli

Si kweli

Question 1

ja - tendwa ni jwa

Hint

Baba ali____ na wageni

Question 2

pa - tendeana ni peana

Hint

Mama ame___ pesa zake za chama cha wazazi