Reading Activity Shairi ni nini? Feedback Shairi ni utungo wa kisanaa ambao hutumia lugha teule na kushirikisha mpangilio maalum wa maneno ili kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa.