Skip navigation

Shughuli 3

Tazama na usikilize video inayofuata kisha ujibu maswali.

Chambua maudhui katika shairi hili.

Tanbihi: Mwanafunzi anaweza kutumia kibwagizo (kama kipo) kwani kibwagizo hubeba kiini cha shairi.

Hata hivyo, yapo maudhui yanayopatikana katika kila ubeti kwani kila ubeti hujitegemea kimaudhui.

Katika shairi hili, mwanafunzi atatambua majanga mbalimbali yanayoikumba nchi hii kama vile:

1. Ugaidi

2. Pombe haramu

3. Ukosefu wa amani maabadini

n.k.