Skip navigation

Zoezi

Kujaza Pengo (Cloze Test

Soma aya ifuatayo na ujaze mapengo ukitumia jina moja tu kwa kila pengo.

Nomino ni moja ya nane za maneno yanayotumika katika ya kiswahili. Nomino zimegawika kwa aina . Ya kwanza ni nomino ya ikifuatwa na ya kwaida. kuna dhahania na ile ya, makundi, jumla kitenzi jina. Yote haya, mwanafunzi anastahili na mifano na jinsi yanavyotumika.

Enable JavaScript

DropDown Activity

Soma na ukamilishe aya ifuatayo kwa kujaza mapengo.

Nomino moja ya aina za maneno yanayotumika katika lugha ya . Nomino zimegawika kwa aina sita . Ya kwanza ni ya pekee na ya kwaida. Pia kuna na ile ya, makundi, jumla na jina. Yote haya, mwanafunzi anastahili kuyafahamu na mifano yake na yanavyotumika

Enable JavaScript

Multi-choice

Question

1. Tambua nomino ya dhahania kutokana na orodha ya maneno uliyopewa.

Answers

Shule

Maji

Malaika

Thurea ya nyota

Feedback

Question

2. Zifuatazo ni nomino za kawaida isipokuwa moja. Ni ipi?

Answers

Mji

Mto

Soko

Mkahawa wa Borabu

Feedback

Question

3. Tambua nomino kutokana na orodha hii.

Answers

Lima

Uzuri

Wala

Jikoni

Feedback

Question

4. Ni ipi ambayo sio aina ya nomino?

Answers

A-unganifu

Pekee

kawaida

Wingi

Feedback

True-False Question(Maswali ya Ukweli au Uongo)

Taja kama fungu lifuataloni la kweli au la uongo

Question 1

1. Basi ni nomino ya kitenzi jina.

Question 2

2. Kuna aina nane za nomino.

Question 3

3. Nomino ya jumla huangazia wingi wa vitu.

Question 4

4. Cairo ni nomino ya pekee.

Question 5

4. Haya ni baadhi ya aina nane ya maneno. 1. Kiunganishi. 2. Kitenzi 3. Kivumishi. 4. Kirai 5. Kishazi

SCORM Quiz

Question

1. Nomino ya pekee ina maelezo yafuatayo isipokua?

Answers

Hutaja majina halisi ya watu

Hutaja majina ya siku

Huanza na herufi kubwa mahali popote.

Hutaja fikira ama mawazo ya mtu.

Question

2. Haya yote ni ukweli kuhusu baadhi ya aina za nomino.

Answers

Huashiria kitendo

Hutaja makundi mbalimbali ya vitu ama watu.

Huashiria hisia mbalimbali

Hutaja vitu ambavyo hufikirika tu.

Question

3. Haya ni baadhi ya aina ya maeno katika lugha ya kiswahili isipokua?

Answers

Kivumishi

Kihisishi

Mofimu

Kiwakilishi

Enable JavaScript