Skip navigation

Utangulizi

Tazama kanda ifuatayo kwa makini.


Nomino ni neno linaloonyesha kitu,miji,watu,pahali na kadhalika.

Kuna aina sita za nomino katika lugha ya kiswahili na huwa zinatumika wakati wa mazungumzo na uandishi wa kila siku. Wanafunzi wanafaa kufahamu jinsi ya kuzitumia ipasavyo.