HITIMISHO KWA KIFUPI, ELEZA KILE UMEJIFUNZA KATIKA SOMO LA LEO. Feedback Tumejifunza juu ya ngano . Ngano ni hadithi za kimapokeo zitumiazo wahusika kama vile,wanyama,miti na watu kuelezaea na kuonya kuhusu maisha. Hadithi hizi hutoa mifano kadha ya maisha ya binadamu na matatizo anayokumbana nayo ulimwenguni.