TAZAMA VIDEO IFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI.
MASWALI.
(I) ELEZA AINA YA HADITHI KAMA INAVYOSIMULIWA KATIKA VIDEO ULIYOTAZAMA HAPO JUU.
(II) TAJA SIFA ZOZOTE TATU KAMA ZINAVYOJITOKEZA KATIKA HADITHI.
(III) FAFANUA SIFA TATU ZA MHUSIKA MKUU KATIKA HADITHI.
(IV) TAJA UMUHIMU WOWOTE WA HADITHI ZA AINA HII.