Skip navigation

Utangulizi

Vitate ni maneno ambayo matamshi yake yanakaribiana lakini maana ni tofauti.Maneno haya hukanganya mtu anapoyatamka.Iwapo mwanafunzi hatajua kuyabainisha maneno haya anapotamka au anapoandika,basi kutakua na shida katika mawasiliano.