Skip navigation

Tamati

Vitate vinapotamkwa vinatatanisha sana na ndio maana wanafunzi wenge hupata shida.Shida hii huwaathiri hadi kwenye maandishi.Kwa mfano badala ya mwanafunzi kuandika Baba alienda sokoni kununua Papa,anaandika,Papa alienda sokoni kununua Baba.Inapotokea hivyo,kunakua na shida katika mawasiliano.Kwa hivyo ni muhimu mwanafunzi aweze kutofautisha vitate hivi anapovitamka na vilevile anapoviandika ili aweze kuwasiliana kwa njia inayofaa.