Activity1
Katika lugha ya Kiswahili,maneno mengi hufanana katika matamshi.Maneno hayo hutatiza sana mtu anapojaribu kuyatamka.
Hebu tamka maneno yafwatayo:
vua-fua
pishi- Bishi
Mandari-Mandhari
Kaburi- Kabuli
Katika lugha ya Kiswahili,maneno mengi hufanana katika matamshi.Maneno hayo hutatiza sana mtu anapojaribu kuyatamka.
Hebu tamka maneno yafwatayo:
vua-fua
pishi- Bishi
Mandari-Mandhari
Kaburi- Kabuli
Tazama tofauti ya kimaana ilioko katika vitate vifwatavyo.utagundua kuwa kimatamshi maneno haya yanakaribiana lakini kimaana yanatofautiana
Tazama video ifuatayo huku ukisikiliza jinsi vitate vinatamkwa.Utagundua kuwa maneno haya yanatatanisha watu wengi sana wanapoyatamka
Licensed under the Creative Commons Attribution Share Alike License 4.0