Skip navigation

TATHMINI

UTATHIMINI WA SOMO KWA UNDANI

Question

1.Nyimbo za kuomboleza huitwaje?

Answers

Nyiso

sifo

bembea

mbolezi

Question

Tohara huhusisha aina fulani za nyimbo.Taja aina hizo

Answers

bembea

sifo

nyiso

mbolezi

Question

Bembea ni nyimbo za aina gani?

Answers

Kurai na kupumbaza watoto

Hujasirisha wahusika kukabili changamoto

Kutoa nasaha kwa maharusi

Kusifu mashujaa

Question

Ni gani si majukumu ya sifo;

Answers

Kusifu mashujaa

kutia wahusika woga

Kuhifadhi mila na utamaduni wa jamii

Kuleta utangamano wa jamii

Enable JavaScript